Swahili stringlengths 9 495 | emotion stringclasses 7
values |
|---|---|
kunywa japo asubuhi kabla ya kifungua | neutral |
Kokoka (kuweza) - Nani a kokoka kobalola butu ekoma moyi? - Nani anaweza kuubadili usiku kuwa mchana? | neutral |
Matendo na amali havitasaidia chochote. | neutral |
Nilichokifanya ni kujifunika kichwa na nywele zangu. - lakini papo hapo nilijikuta nimegeuka kuwa ni raia wa daraja la pili. | surprise |
Akizungumzia semina hiyo inayotarajiwa kufanyika Jumamosi ya | surprise |
Unaowaomba ushauri sio watu? | neutral |
Photos: A Wake | neutral |
Mungu amponye haraka ili aweze kufanya kazi tunayotaka afanye. | neutral |
Alianza kama Kaimu Rais wa Abraham Lincoln na kumfuata Lincoln alipouawa. | neutral |
Sitibu nywele zangu vizuri, kwa mfano, ninazitengeneza na vifaa vya moto karibu kila siku. | neutral |
"Kama Mohamed anaweza kufunga, basi anaweza asicheze tena hapa. | neutral |
Ni mtihani mzito kwa wana familia wenzangu wa TBC. | joy |
Yesu akawakaribisha akawazungumzia juu ya Ufalme wa Mungu, | joy |
Utengenezaji wa picha unazingatia kujenga prototypes bora za kazi - bila kujali mradi wako ni changamoto gani, tunayo suluhisho kwako kila wakati. | neutral |
Sawa mkuu yaani hiyo Quora imekuharibu huko nyuma au kwa sasa? | neutral |
Bila biashara, hakuna kazi. | sadness |
Maana yake, "Amestahiki." | disgust |
leo tokyo gho | surprise |
"Musiikaribie zinaa hakika hiyo (zinaa) ni uchafu na njia mbaya" | neutral |
Inawezekana ni mchaga pengine wa machame! | joy |
Ni jinamizi linalowakabili wasichana wengi wadogo katika maeneo mbalimba ya bara zima la Afrika. | neutral |
Hii inatuletea, swali; hivi viongozi hawa wanataka Rais Magufuli afanye nini? | neutral |
Hivi Rais Kikwete hana watu wa kumsaidia kazi? | surprise |
Hii ni kwa sababu 'Aqeedah ya Kiislamu ni 'Aqeedah iliyojengeka kupitia kukinaika akili na ni 'Aqeedah ya kisiasa ambayo kwayo ni chimbuko la nidhamu inayo tatua matatizo yote ya mwanadamu, yawe ya kisiasa, kiuchumi, kithaqafa, kijamii au kadhia yoyote nyengineyo. | neutral |
Hii inamaanisha kuwa kuanza kwa mazungumzo ya kibiashara kunaweza kucheleweshwa na malengo ya makubaliano ya pande mbili kuzingatia ajenda ya Biden na malengo kadhaa ya mazungumzo yaliyowekwa na utawala wa Trump yanaweza kutupiliwa mbali. | neutral |
Na sisi kuweka wewe kwa njia ya adventures wengi kwenye tovuti yetu. | neutral |
Kwa maana hiyo kila gari mpya hakina kasoro. | neutral |
kubwa za muziki duniani SONY Music Group, Universal | neutral |
"Zungumza sasa daktari" | anger |
Msemaji wa Bwana Gates amekanusha madai kuwa uamuzi wake wa kujiuzulu ulikuwa na uhusiano wowote na uchunguzi huo. | neutral |
Tukio hili liliwafanya kuwa nyuma. | neutral |
orodha ya watumishi wenye vyeti zaidi ya mtu mmoja | neutral |
Hakuna mtuhumiwa mwingine katika hili. | neutral |
Wasiwasi na maombi ya Papa kwa ajili ya Nigeria! | sadness |
Siku zote kati kuanzia siku ya kwanza ya hedhi mpaka siku ya ovulation (yai kutolewa) huitwa follicular phase. | disgust |
Walikuwa maarufu katika miaka ya mwanzo ya uvumbuzi wa Bitcoin. | neutral |
Pidoko Kids Take ... | neutral |
Kila mwezi unaanza kwenye siku ya mwezi mwandamu. | neutral |
Imefahamika kwamba app hiyo inafaa kwa mifumo yote ya simu za mkononi. | neutral |
Ni nini hasa kinachoweza kutumiwa bado hakijajulikana. | neutral |
ni kama wanga wanga fulani hivi. | disgust |
"Kila mtengeneza picha ni Motoni." | fear |
wewe umezama kaka. | neutral |
Kufanya msichana kutoa | neutral |
EDDIE THE YOUNG BOSS: Bongo ingekuwa hivi pasingetosha...labda miaka mia moja ijayo. | neutral |
Lakini kwa ushirikiano wa kila mmoja na maamuzi magumu, yote yanawezekana. | neutral |
Ubingwa wa kwanza wa Klopp wa Champions League ulisababisha sherehe kubwa katika vyombo vya habari za michezo nchini Ujerumani. | joy |
Uchambuzi wao ulithibitishwa na maabara matatu ya kujitegemea ambayo yalipokea sampuli tofauti kwa nyakati tofauti za mwaka. | neutral |
Kwa kusamehe kwetu tunakuwa tumejipa nafuu dhidi ya maumivu ya kihisia pale tukumbukapo juu ya yale tuliyotendewa na wenzetu. | neutral |
Mkuu, nakushauri tu. | neutral |
Au ndio kudandia treni kwa mbele. | neutral |
Kumbuka mafanikio yako. | neutral |
Annette Kimwere. | sadness |
Lakini hakunitajia taasisi hiyo. | neutral |
Inaweza kubuniwa kwa hatua moja au nyingi kulingana na mahitaji ya wateja, rahisi kutenganisha na kukusanyika. | neutral |
Alimlisha asali kutoka katika jabali | neutral |
OK! tumeona live tunafanyaje sasa? | neutral |
"Nikijiuzulu ubunge leo hii maana yake ni kwamba itakuwa kazi kweli na sitaweza kulipa mkopo. | anger |
Watoto wanaumia lakini basi ikisimama, the kids are nowhere to be seen. | neutral |
Bond: Kizuna on line | neutral |
Soma kila kanga kabla ya kuendelea. | neutral |
Pili kuna gharama ya muda . | neutral |
Mahojiano maalumu kuhusu Maana Ya Utakatishaji Fedha | neutral |
Hii ndiyo demokrasia ninayoiona Tanzania | neutral |
Kawaida kabisa panapokuwa na true love. | neutral |
Nimeipitia blog yako kaka ni nzuri sna. | neutral |
Uhuru wa kushiriki au kutoshiriki: | neutral |
TOM MBOYA: Mtetezi wa haki za wafanyakazi nchini na... | anger |
BVE ni tukio kubwa zaidi la Uingereza kwa wataalamu walioshiriki katika kuchukua maudhui kutoka kwa uumbaji hadi matumizi. | neutral |
Alisha - Boys Will Be Boys (Maxi) | neutral |
Matatizo kwa kawaida huwa kawaida hata hivyo inaweza kutokea baada ya upasuaji yoyote. | neutral |
Katika kipindi cha elimu yake Ayatulah alihisi kuwa wakomunisti walitaka kuibadilisha dini takatifu ya Uislamu na kuharibu roho yake kwa kuchanganya mitazamo yao ya kumkana Mwenyezi Mungu na Falsafa ya Uislamu na kwa njia ya kuzitafsiri Aya za Qur'ani kiyakinifu. | anger |
Huvumilia - katika hali zote, katika raha na katika shida. | sadness |
Kwanza haiwezekani ukalala bila kuota ndoto. | fear |
Rais Samia aahidi kutatua changamoto za wananchi | neutral |
Ukiwa hivyo hataona tofauti kati yako na wale macho juu anakutana nao club kila wikiendi. | neutral |
Lakini kwa umbali za karibu zaidi jinsi ilivyo ndani ya mfumo wa Jua letu kizio astronomia kimechaguliwa. | neutral |
Walikuwa wameandika vitabu ambavyo tulikuwa tunavisoma shuleni kama vile Shaaban Robert. | neutral |
Pengine kuwalipa insurance kuna unafuu kuliko uhalifu wa serikali zetu. | neutral |
"Ni zaidi ya mwezi sasa tunakwenda Mambo ya Nje kuomba msaada lakini hakuna anayetusikiliza," anasema Ashura. | sadness |
Pamoja na upanuzi wa wafanyakazi wake wa uhariri, nyongeza za hivi karibuni kwenye muundo wa mwendo wa Colonie, VFX na timu za usaidizi zimeongeza upeo na upeo wa kampuni moja ya kuacha Chicago-based ... | neutral |
Akizungumza na wanahabari katika Ikulu ya White House kabla ya kuondoka Washington kuelekea kwenye mkutano wa Brussels, rais Trump alisema Jumuiya ya... | neutral |
Laweza kuwa tatizo la kisaikolojia. | neutral |
Kufaidi huduma nyingine muhimu. | neutral |
Kwa kifupi, huyo ndiye Mama Ananilea Nkya! | surprise |
Mi nabaki tu kusema swadakta | neutral |
Angalia ukurasa huu: Chati. | neutral |
Mchanganyiko wa kuvutia hautapata mahali pengine popote. " | neutral |
Hii ni nukuu nzito sana ikiweka wazi kisa cha nini kilitokea na jinsi gani kilitokea. | neutral |
Jambo Usilolijua: Nyerere alipokea Taifa la namna gani? | surprise |
Tunatumia muda wetu mwingi kuishi maisha ambayo hata hatukupanga kuyaishi. | disgust |
Habari zaidi juu ya utafiti | neutral |
"Anayerudia kwa hakika sitaweza kumvumilia nitamtimua na akitokea kiongozi akimrudisha nitaondoka mimi," . | fear |
Kwa sababu ya hatari za kiafya na mazingira ya GMOs, raia wa Ujerumani na Uswizi hawataruhusu ufugaji wa mbegu za GMO za BASF, Bayer na Syngenta. | neutral |
Lakini Kenyans tunapenda mkato. | joy |
Lakini Adel Ghaly alikuwa akijiuliza hapa kama tuna nafasi imebaki kwa ajili ya nyota mwingine: | disgust |
Hata akijitangaza bado huwa si kweli.... | anger |
I don't know, but I hope not! zaidi ya mwaka mmoja uliopita | neutral |
Hii kitu inahitaji serial kweli? | neutral |
Yehova aliona uovu uliokuwa ukiendelea huko Kanaani. | disgust |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.