Datasets:
Swahili stringlengths 9 495 | emotion stringclasses 7
values |
|---|---|
Taifa wamebadili miungu yao, ingawa siyo miungu? | neutral |
Yeye pia atakuwa taifa, naye pia atakuwa mkuu. | neutral |
"Saa (kufika kiama) imekaribia; na mwezi umepasuka. | neutral |
Au samaki wote wa baharini watakusanywa pamoja kwa ajili yao, ili kuwatosha? | neutral |
Namna kila mumoja wao alifikia kuwa rafiki ya Mungu inaweza kutufundisha nini? | neutral |
Je, unaweza kusema, "Ndiyo, nina uzima wa milele. | neutral |
Kisha mmoja wao akasema: "Na miongoni mwetu yupo Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) ambaye anajua yatakayotokea kesho. | neutral |
Na kwa msaada wa Mungu, Yusufu anawaambia maana ya ndoto zao. | neutral |
Mikono ya Yosefu mwenyewe ndiyo itakayofunga macho yako." | neutral |
Hawa watu wetu wameshika miungu mingine badala yake Yeye. | disgust |
Ukiwa kijana, huenda nyakati fulani ukaogopa kufuata amri za Mungu. | fear |
Akajibu, "Naam, na Imani ilikuwa ndani ya nyoyo zao kama milima." | neutral |
takasika; na wao humo watadumu. | neutral |
Yeye na wao walikuwa katika makabiliano ya kudumu maisha kati yao. | anger |
Na huu ni mwezi wa toba hakika atakuwa amenisamehe. | neutral |
Na waulize habari za mji uliokuwa kando ya bahari. | neutral |
Ukweli wa kifo unafahamika kwa uongofu wa Quran. | fear |
Kisha mikono ya wote walio pamoja nawe itatiwa nguvu." | neutral |
wavulana, nimepata code ya kazi kutoka hapa! | surprise |
Waumini hao tu ndio wangeingia mbinguni baada ya kifo, hii ina maana kuwa walikuwa wameokolewa. | neutral |
Tunashukuru kama nini kwa sababu ya ujumbe wa Mungu ulio katika kitabu cha Isaya! | neutral |
Atakula kila atakachokipata, na kama hatakipata, basi atakidai. | anger |
Je, unajua kile ambacho waliwapa watu wengine? - Kilikuwa kitu bora zaidi ulimwenguni! | joy |
naye atawapa Msaidizi Mwingine, ili akae nanyi hata milele." | neutral |
Kama mtoto na baba yake yeye alitumika pamoja nami katika kuendeleza habari njema." | neutral |
Au unadhani kwamba wengi wao wanasikia na wanafahamu? | neutral |
Kwa yakini zilikuwepo katika (kisa cha) Yuwsuf na kaka zake Aayaat (ishara, dalili, zingatio) kwa waulizao. | neutral |
Enyi mlio amini!Kwa nini mnasema msiyo yatenda? | anger |
Jina la huyo mwanamume ni nani, katika New Zealand, na mimi husahau kila wakati? | neutral |
Wanangojea jingine ila kama yaliyotokea siku za watu walio pita kabla yao? | neutral |
Lau Tungelitaka, Tungeliyafanya ya chumvi kali chungu basi kwa nini hamshukuru? | anger |
(Kwa kufanya kile unachokifanya sasa hivi, kujifunza neno la Mungu. | neutral |
Kisha mapepo yakasema, "Hebu tufanye jambo jipya. | neutral |
Basi huyo baba akagawanya mali yake kati yao. | neutral |
Wanangojea jingine ila kama yaliyo tokea siku za watu walio pita kabla yao? | neutral |
Akiwa Chanzo cha uhai, atakuwa Baba ya wote watakaofufuliwa. | neutral |
Hata watenda-dhambi hufanya vivyo hivyo. | disgust |
hatataka shauri kwa mwenye hekima. | neutral |
na labda ndio sababu nitaondoka mara moja jua. | neutral |
Hao ndio maadui, basi tahadhari nao. | fear |
Waambie wake zako: Ikiwa mnataka maisha ya dunia na pambo lake, basi | neutral |
Akasema, Tangu utoto. | neutral |
Wanyama au ardhi na jua pia vilionekana kati yao. | neutral |
na jua hutambua wakati wake wa kutua. | neutral |
kwa sababu ya uovu wa wale walioishi humo. | anger |
Hata wale bora katika wafuasi wake hawakuweza kuonyesha imani kweli. | neutral |
Miji Itapatilizwa kwa Hukumu za Mungu Wakati umekaribia ambapo miji mikubwa itapatilizwa kwa hukumu za Mungu. | neutral |
Roger ana yake blog mwenyewe, pia! | neutral |
kuwahubiria Waisraeli lakini hawakuwa kumsikiliza. | anger |
Ila sio kuingilia kumsaidia mmoja wao. | sadness |
(Allaah) Husema: "Je, ingekuwaje kama wangeuona Moto wangu!?" | anger |
Hata wenye dhambi hufanya vivyo hivyo. | disgust |
Humo watakuwa na maskani ya kudumu, ndiyo malipo yao | neutral |
Katika nyakati za kale, watumishi washikamanifu wa Mungu walisema au kufanya mambo yaliyowaumiza wengine. | disgust |
Hakika yeye alidhani hatarejea. | anger |
Na wakaenda asubuhi hali wanadhani kuwa wanao uwezo wa kuzuia (masikini). | neutral |
Je, hatutakuwa salama kwa kufuata kielelezo cha Baba na Mwana? | fear |
Hauko peke yako; bado kuna watu wengi wanaomwamini Mungu. | neutral |
Wale wanaoyajua maisha ya Mtume watalifahamu hilo vyema zaidi. | neutral |
Po pote waishipo amekufanya wewe kuwa mtawala juu yao wote. | neutral |
Je, unafikiri kwamba upendo la Petro ulikuwa halisi wakati huo? | surprise |
hakika udongo (mchanga) ulio safi ni tahara ya muislamu hata kama hakupata maji kwa miaka kumi. | neutral |
Hawwaa (Amani iwe juu yake), yeye ndiye wa mwanzo kuipata. | joy |
Bali wao wamo katika shaka tu juu ya umbo jipya. | neutral |
Na tulihitaji msaada kutoka mbinguni." | sadness |
Danieli atafufuliwa wakati wa ufufuo wa waadilifu | neutral |
Amri ya kwanza ya Amri Kumi inawataka watu kumwabudu Mungu wa kweli tu. | neutral |
hakuna waliobarikiwa kuliko ninyi, hili kundi la watu. | neutral |
Nimekutegemea Wewe tangu kuzaliwa, | joy |
Basi akawakubali katika jambo hili, akawathibitisha kwa siku kumi. | neutral |
Alisema hivi: "Katika nyumba ya Baba yangu mna makao mengi. | disgust |
Huyo hakika alidhani kuwa hatarejea tena. | anger |
huu ndio utakuwa mwonekano wa umma wa Jua la haki. | neutral |
Nina wasiwasi kuhusu kupoteza muda wangu bora nchini Hispania sasa. | fear |
Sema: Sijui kama yapo karibu hayo mnayo ahidiwa, au | neutral |
"Sisi pia tunaweza kuishi maisha mapya.") | neutral |
Nitafanya ukumbusho wao usahauliwe kabisa miongoni mwa wanadamu," | anger |
"Si rahisi kuwa ndiwe wa mwisho wa aina yako katika sayari yetu. | neutral |
"Watu wanakuuliza kuhusu Saa. | neutral |
(Katika baadhi ya sehemu za Afrika, wanasema, 'Mke mmoja - tatizo moja. | disgust |
Tangu sasa na kuendelea utakuwa ukiwavua watu wakiwa hai." | neutral |
Mkutano na kuoa msichana wa Kichina ni kitu mimi kujua mengi kuhusu. | joy |
"Wale wafanyao hayo (kuwapiga wake zao) si wabora wenu." | disgust |
Naam; si kwa njia ya watu wa Mungu kuishi humo, | neutral |
"Hapo Yusufu hakuweza kujizuia mbele yao wote waliosimama karibu naye. | fear |
na divai yangu mpya wakati itakapokuwa tayari. | joy |
nayo jumuiya yao itaimarishwa mbele yangu; | neutral |
Iko wapi, basi, nyumba ambayo ninyi mnaweza kunijengea, na pako wapi, basi, mahali pa kupumzika kwa ajili yangu?" | neutral |
Na wana wa Amoni wakakusanyika kutoka miji yao, wakaja vitani. | neutral |
Je, utachagua kuwa miongoni mwa wenye haki? | neutral |
Na alikwisha wajieni Yusuf zamani kwa dalili zilizo wazi, lakini nyinyi | neutral |
Vivyo hivyo, watu wa Mungu leo hawafundishi maoni yao wenyewe. | neutral |
Unataka neno la wazi, rahisi, moja kwa moja kutoka kwa Bwana leo? | neutral |
Macho yangu yatawaelekea waaminifu katika nchi, | joy |
Watu kama hao wataishi milele katika mwangaza wa Mungu. | neutral |
Na labda ulipendezwa na baraka fulani za Ufalme wa Mungu za wakati unaokuja zenye zilizungumuziwa katika habari hizo. | neutral |
Kwa maana maagizo haya nikuagizayo leo, si mazito mno kwako, wala si mbali. | neutral |
(Suala si ndoa mbinguni, bali ni ufufuo. | neutral |
Kupitia hii, tunakuwa warithi wake, wale wanaorithi uzima wa milele, na mengi zaidi. | neutral |
Lakini Philo alipofafanua utu wa Mungu Mweza-Yote, alienda mbali sana na ukweli. | disgust |
Swahili Emotion Analysis Corpus
Dataset Description
This dataset contains emotion-labeled text data in Swahili for emotion classification (joy, sadness, anger, fear, surprise, disgust, neutral). Emotions were extracted and processed from the English meanings of the sentences using the model j-hartmann/emotion-english-distilroberta-base. The dataset is part of a larger collection of African language emotion analysis resources.
Dataset Statistics
- Total samples: 2,000,000
- Joy: 147146 (7.4%)
- Sadness: 114445 (5.7%)
- Anger: 125076 (6.3%)
- Fear: 89559 (4.5%)
- Surprise: 105550 (5.3%)
- Disgust: 162737 (8.1%)
- Neutral: 1255487 (62.8%)
Dataset Structure
Data Fields
- Text Column: Contains the original text in Swahili
- emotion: Emotion label (joy, sadness, anger, fear, surprise, disgust, neutral)
Data Splits
This dataset contains a single split with all the processed data.
Data Processing
The emotion labels were generated using:
- Model:
j-hartmann/emotion-english-distilroberta-base - Processing: Batch processing with optimization for efficiency
- Deduplication: Duplicate entries were removed based on text content
Usage
from datasets import load_dataset
# Load the dataset
dataset = load_dataset("michsethowusu/swahili-emotions-corpus")
# Access the data
print(dataset['train'][0])
Citation
If you use this dataset in your research, please cite:
@dataset{swahili_emotions_corpus,
title={Swahili Emotions Corpus},
author={Mich-Seth Owusu},
year={2025},
url={https://huggingface.co/datasets/michsethowusu/swahili-emotions-corpus}
}
License
This dataset is released under the MIT License.
Contact
For questions or issues regarding this dataset, please open an issue on the dataset repository.
Dataset Creation
Date: 2025-07-04 Processing Pipeline: Automated emotion analysis using HuggingFace Transformers Quality Control: Deduplication and batch processing optimizations applied
- Downloads last month
- 45